Tunamhitaji Mtu mwenye Taaluma au ujuzi wa kubuni bidhaa mpya kutokana na mchanganyo wa vanilla na mali ghafi zifuatazo:
Mtaalamu/Mjuzi atabuni kanuni na kuzitumia kutengeneza sampuli ambavyo kwa pamoja atavikabidhi kwetu baada ya kujalibiwa kwa walaji na kukubalika. Sisi tutawajibika kumlipa Mtaalamu kwa ujuzi wake.
Maruku Vanilla ni Kampuni Binafsi inayotoa kipaumbele kwenye ufanisi zaidi kuliko elimu. Hivyo kigezo kikuu kitakachotumika katika kutoa kazi hii ni Uwezo wa Muombaji kutupa tunachohitaji na wala si wingi wa vyeti.
Kwa mawasiliano:
Al haj Hassan,
Simu: 0717-972957/0786-972958
Barua pepe: marukuvanilla@gmail.com
Tovuti: www.marukuvanilla.com
- Majani ya chai (Tea leaves)
- Majani pori (lemon glass)
- Hibiscus
- Tangawizi (Ginger)
- Kahawa
Mtaalamu/Mjuzi atabuni kanuni na kuzitumia kutengeneza sampuli ambavyo kwa pamoja atavikabidhi kwetu baada ya kujalibiwa kwa walaji na kukubalika. Sisi tutawajibika kumlipa Mtaalamu kwa ujuzi wake.
Maruku Vanilla ni Kampuni Binafsi inayotoa kipaumbele kwenye ufanisi zaidi kuliko elimu. Hivyo kigezo kikuu kitakachotumika katika kutoa kazi hii ni Uwezo wa Muombaji kutupa tunachohitaji na wala si wingi wa vyeti.
Kwa mawasiliano:
Al haj Hassan,
Simu: 0717-972957/0786-972958
Barua pepe: marukuvanilla@gmail.com
Tovuti: www.marukuvanilla.com
Food Technologist to Develop New Products
Reviewed by Unknown
on
12:41:00 AM
Rating: