• Wenye cheti cha mtihani wa kidato cha 4 na kuendelea
• Wenye leseni hai za kuendesha malori pamoja na uzoefu wa kuendesha magari usiopungua miaka mitatu bila kusababisha ajali
• Wenye cheti cha majaribio ya ufundi daraja la II kuendelea • Uzoefu wa kuongea vzur lugha ya kiswahli na kiingereza
Application Instructions:
Waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa , barua za maombi ziambatanishwe na maelezo binafsi yanayojitosheleza pamoja na picha 2 za passportsize
Maombi yote yaambatanishwe na nakala za vyeti vya taaluma na vyeti muhimu vya mafunzo mbalimbali kuzingatia na kazi uhusika
Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 45
Maombi yatumwe
Afisa Mwajiri
SLP 63217
Dar es Salaam, Tanzania
Dereva (10) Wakala wa Uchukuzi na Usafirishaji
Reviewed by Unknown
on
2:17:00 AM
Rating:
No comments: